Subscribe Us

ads header

Breaking News

IBRAH NITACHELEWA LYLICS

 IBRAH NITACHELEWA LYLICS

BY JIMMY JOLLY

Aaah uuh ooh oh, ooh chinga Ah ah aaaah ah..Aaah uuh ooh oh, ah ah ah

Yeah sijui hata nifanyeje Sijui hata nifanye nini me

Maana hata siamini Hmn no ho Nilikula kiapo nikungoje Ila bado haiingi akilini

Maana nishakula ya mini yawe Eh kwa mashogazo ulichota mafumbo Ngoja ngoja inaniumiza tumbo

Masikini umeshafata mkumbo, Yaani umesepa

Umeziacha zimejaza na rundoo Na una ponda yangu fupi Nyundo

Eti unaning'ong'a, tajiri wa uvundo Ndio chanzo umeniteka, aah

Na naimani nitajijengea Nisikuwaze kwa ubaya kwa ubaya

Maana before nlitimia Leo uwe mfano wa bandama umebanduka

Labda yangu nyota imefifia wamekuteka we ah we ah

Simanzi imenielemea shilingi imepinduka

Kama usiporudi (Nitachelewaa) Oh oh (kupona Nitachelewa) Ah Nitachelewam mama (Nitachelewa) Hmm Hmm (kupona Nitachelewa) Kupona maradhi ya moyo (Nitachelewaa) Yeah (kupona Nitachelewa)

Kama sio wewe nani tena (Nitachelewaa) Oh no (kupona Nitachelewa) Nitachelewa mama

Ah ah aah, hmmm yeah Oh oh oh, yeah..Mi najaribu kujisahaulisha ila moyo unagoma, unagoma

Hasa nikikukumbuka zako methali na nahau

Japo unanionyesha dharau Moyo hautaki komaa, kukoma

Mwingine sitaki penda na usidhani ka nitakusahau Oh maana

Vita penzi lako ntapigana Nikiamini utarudi we changama

Maana siko sawa ujue, mkuki kwa nguruwe Kwa binadamu mchungu (Wanaogombana)

Siku zote ndio wananopatana Ama unapenda mi ninavolalama

Sijui nilipokosa ujue Na malengo ujue Mimi najua wewe langu fungu

Na naimani nitajijengea Nisikuwaze kwa ubaya kwa ubaya

Maana before nlitimia Leo uwe mfano wa bandama umebanduka

Labda yango nyota imefifia wamekuteka we ah we ah

No comments