Subscribe Us

ads header

Breaking News

ZUCHU – SUKARI LYRICS

ZUCHU – SUKARI LYRICS

WRITTEN BY JIMMY JOLLY

Eti nimemlambisha…Ananiambia chombeza

Tena nikiizidisha..Ananiamba Koleza

Nikitaka kusitisha…Aniamambia Ongeza

Japo imethibitishwa..Ila itampoteza

Ikipanda ni balaa..Ikishuka ndio Hatari

Asijepata madhara…Akaitwa sanaani

Radha yake msalaha..Shira ya kizanzibari

Nami simnyimi wala..Akitaka nampa

Sukari (Nampatia)…Sugar Sukari (Nampatia)

Sukari (Nampatia)…Sugar Sukari (Nampatia)

Sukari (Nampatia)…Sugar Sukari (Nampatia)

Sukari (Nampatia)…Sugar Sukari (Nampatia)

Na akilia njaa..Junjaa Sifanyi hajizi

Namjazia Jaa Juja na zitangawizi

Baba chanja Baba Chanja (Eeee)

Chukua vyote Chukua (Kulaa)

Vitafune ganja ganja (Eeee)

Chakua mwaya Chakua (Kulaa)

Ujibusti na karanga (Eeee)

Tuliza na kitumbua (Kulaa)

Jiadhali na majanga Wee..Usije ukaugua

Ikipanda ni balaa..Ikishuka ndio Hatari

Asijepata madhara…Akaitwa sanaani

Radha yake msalaha…Shira ya kizanzibari

Nami simnyimi wala…Akitaka nampa

Sukari (Nampatia)....Sugar Sukari (Nampatia)

Sukari (Nampatia)…Sugar Sukari (Nampatia)

Sukari (Nampatia)....Sugar Sukari (Nampatia)

Sukari (Nampatia)…Sugar Sukari (Nampatia)

Nimroge kwa nini kashanogewa…dambua dambua

Utamu wa sukarini Tamu kolea… dambua dambua

Nasema Da dambua dambua Wee dambua dambua

Alua alua dambua Wee dambua dambua

Nasema Da dambua dambua Wee dambua dambua

Inama kama unafua dambua

Kigulu nyanyua dambua

No comments